Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
"Jukwaa la Wahariri limeshtushwa na tukio la kushambuliwa na kuumizwa kwa Waandishi wa Habari wakitekeleza wajibu wao">>
""Kitendo cha watu au mtu kuwashambulia waandishi wa habari walioalikwa katika tukio hilo hakivumiliki na hakikubaliki">>
"Tukio hili la kihalifu lilitokea April 22 sisi tunalitazama kama shambulio la Uhuru wa Habari na Waandishi wa Habari>>
TEF limefanya mawasiliano na pande zote mbili zenye mgogoro ndani ya CUF chini ya Maalim Sharif Seif na Prof. Lipumba">>
"Prof. Lipumba hajalaani wala kupongeza, mmoja wa wafuasi wake alikiri kuwa vurugu zilifanywa na CUF na kuomba radhi">>
"Mkutano na Prof. Lipumba ulitawaliwa na matukio ya ubaguzi wa vyombo vya habari na dalili za vitisho kwa waandishi">>
"Kwa kuzingatia mazingira hayo TEF imetoa msimamo wake juu ya mwenendo wa matukio ya ukosefu wa usalama kwa waandishi">>
"Jukwaa la Wahariri tunalaani tukio ambalo linaingilia uhuru wa habari na kinyume cha sheria ya Huduma za Habari 2016">
"Tunatoa pole kwa waandishi wote waliopatwa na msukosuko na walioumia tunawatakia heri wapone haraka na kurejea kazini [HASHTAG]#JukwaalaWahaririTEF[/HASHTAG]