Kero na mafanikio/faida za Muungano

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,162
3,061
Tarehe kama ya Leo 26/04/1964 tanganyika na Zanzibar ziliungana .kama ilivyo kawaida kila kitu huwa kina faida na hasara,

Ebu tutaje mafanikio na kero ya huu Muungano wetu
 
Back
Top Bottom