Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Kwema wakuu.
Leo nimemkumbuka mwanamziki kijana aliyetokea kuhit sana kwenye tasnia ya sanaa ya muziki, Akasi Kinzasa maarufu kama "20 percent". Alitokea kuvuma sana na wimbo wake wa "Mama Neema".