ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Wakuu,
Wengi wetu ni watazamaji wa habari ITV muda wa saa mbili usiku ni wazi kuondolowa kwa habari za kimataifa Kipindi kimepwaya saaaana hasa kwa kipindi hiki kilicho na mgogoro wa kimataifa baina ya Marekani na North Korea
Napenda kuwaambia ITV kwamba habari za DRC Rwanda na nchi jirani sio za kimataifa tunazo zihitaji!
Rudisheni segment yenu kama zamani, tupate uwanja mpana wa kujua na kuona nini kimetokea nchi zilizoendelea huko.
Habari ITV ndio kipindi kizuri kwa habari za uhakika, nafikiri hili mtalishughulikia!