Huu Wimbo Kaimba Nani?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Kuna wimbo fulani ulioimbwa na mwanamke!
Ni wa zamani kidogo,wenye maathi ya zouk!
Unasema,"Nguo ya Kuazima Haistili Mwili"
Mara ya Kwanza nilifikiri wameimba wana Njenje!
Naomba msaada!
 
Back
Top Bottom