Ni lini Wana CCM wataacha unafiki

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,583
3,181
Ugonjwa wa Wana CCM kuwa wanafiki na kushindwa kukisaidia chama kustawi nauliza utaisha lini?
Mfano wa unafki uliopitiliza ni huu wa Mr polepole kutaka kumwadhibu Nape kwa kuwaambia ukweli, sasa ni wakati mwafaka kuwakumbusha hawa jamaa matamko yao ya nyuma ili asiyekuwa na dhambi CCM ndie aanze kutupa jiwe kwa Nape.
 
Sijaona tofaut ya pole pole pole,lizabon,barbarosa hawa wote ni wachumia tumbo na ni vilaza waliotukuka kazi ya Nape anayeifahamu ni Jk&Kinana
 
Niliambiwa njaa haina heshima...unaweza uza uzaliwa wako wa uzalendo na demokrasia...
 
Kweli nyani haoni kund*le, hivi Kuna unafiki unaozidi huu wa ktk hii picha
13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n.jpg
 
Haujaandika chochote cha maana, kwasababu ameyasema wazi na lazima kafata yanayotakiwa kwa wanachama na kutodanganya wananchi. Kama aliyesemwa kaonewa basi atawajibu muda ukifika.

Ni bora wao kuliko upinzani wanaopanga chini ya meza na kisirisiri kumalizana.

Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom