Wadada hizo simu zenu zina ugomvi na Maji?

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Kama si wachache basi wote humu Jf na wananchi wengine wote hasa sisi wanaume tumekutana na tatizo hili
Ukiwa na demu ghafla ukamkosa hewani Siku ukimpata ukamuuliza vipi mbona ulikua hupatikani atakujibu simu iliharibika baada ya kuingia kwenye MAJI

Ukipita mtaani uswazi ukakutana na kademu kazuri zuri ukakaomba namba atakuambia sina simu ukimuuliza Kwa nini atakujibu iliingia kwenye MAJI

Mahousegirl nao wamo tena mmoja nimemshuhudia kaanika simu yake juani nkamuuliza kulikoni akajibu imeingia kwenye MAJI
Inshort case nyingi za simu za kinadada akikuambia imeharibika lazima aseme iliingia kwenye MAJI

Wadada kujeni mtuambie hizo simu zenu zina bifu na Maji au ni mbinu ya kudanganya Tu msiombwe namba!!??
 
unajua weng hupenda kuziweka kwenye manyonyo ili ikiita iwe rahis kupokea.sasa ktk kufanya kaz za kuinama unashtukia imetumbukia kwenye maji
 
Vile vipochi vya kubebea simu siku hizi vipo vingi tu, ila ukiwaambia wavitumie wanakwambia Mimi sio mzee..

Wanakera sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom