Nashangaa sana namna ambavyo waafrika/tz tumekua Mashabiki wa Vita za maneno kati ya nchi Hizi Mbili Marekani na Korea Kaskazini bila Kuangalia Madhara yatakayotokea endapo Vita Hivyo Vitaibuka...
Habarini mabibi na mabwana.
Kichwa cha mada kinahusika kabisa hapo juu.
Kutokana na kile kipato changu cha awali elfu 8 hadi 10 kwa siku,
Nilipanga chumba kimoja Uswahilini,
Ambapo nilikuwa na...
Hi guys,
Fastjet is going to loose customers due to these announced,
1.Fastjet cancelling their 06h00 flight from Dar es Salaam to Mwanza and their 12h10 flight from Mwanza to Dar es Salaam as...
By
Jacob Gallagher
FIFTEEN YEARS AGO, Dzenad Bicic’s beard wasn’t just rare, it was disturbingly rare. “It was shocking and weird for everyone,” said the...
Hivi ni mimi tu au tupo wengi katika hili..?? Kiukweli huyu jamaa ni muda mrefu sasa mimi binafsi sijamsikia aisee, na nimeamini kwamba vyombo vya habar vina nguvu sana.
Vinaweza kutumika kama...
Akiona ukakamavu wao anacheeka na kimoyo moyo anasema-ukileta ubishi 2020 utakoma
Akiona ile mibunduki yao-anajisemea yaani hii ya sasa Ushamba Wa kuonyesha bunduki utashamiri zaidi na vihele hele...
Tukiangalia parade za Korea kasikazini utapenda.Ukiangalia wanajeshi utatamani.
Mimi kwa miaka mingi sioni mapya kwenye jeshi lenu.Gwalide ni lile la mwaka 47,kuvunja matofari ni kitu cha...
Wasalaam
Najua kila mmoja humu ni shahidi
Tangu utawala huu wa awamu ya 5 uingie madarakani na kushindwa kuboresha maisha ya watz wengi hasa wa hali ya chini kuna haka kamsemo "wanaolalamika...
Karibia kila sherehe za kitaifa maonesho ya JWTZ yamekuwa kama maigizo vile.Ukiwaangalia ni sawa na kutizama mazinga ombwe.
Wao wapo busy kuonesha raia namna wanavyoweza kuvunja matofali juu ya...
Ieleweke duniani kote kuwa hakuna nchi inayowapa uhuru bila kikomo waandishi wa habari.hii ni kwa sababu ya nature ya kazi yao ambayo mara nyingi huambatana na maslahi yao binafsi.
Kumekuwa na...
Hbr Wana Jf.
Naomba Ushauri Jinsi Ya Kuepuka Visasi Wanadamu Wananishawishi Kwa Kasi Sana Nilipe Kisasi Baada Ya Kumuua Mbwa Wangu Wa Sita Mfululizo Walimvunja Kiuno Nikamtibu Sasa Wamemuua...
Wadau,
Kuna psychologist yoyote humu ndani,anayeweza kutwambia kicheko kinasababishwa na nini haswa
Au yoyote mwenye Idea?
Manake,mda huu nimejikuta nacheka ka mtoto kwa sababu ya kijinga tu...
Habari zenu wakuu,
Najaribu kupata rough estimate ya gharama za kuagiza gari kutoka Japan na mahesabu yangu ni kama ifuatavyo
Nimeingia website ya uuzaji magari na kupata gharama za gari kama...
Wakati joto likipanda dhidi ya USA na NK jambo lakujiuliza ni kwamba Wakiduku akikosea kombora moja hata katika majaribio likaelekea Afrika ni nchi gani yenye uwezo wa kulisambaratisha kabla...
Mfano, wazazi wanakabila tofauti.
Nikaamua kutokubaliana na zote kisha nikatunga kabila jipya kabisa au mchanganyiko wa Makabila mawili. Kisha watoto wangu wote na wajukuu wote na wajukuu wa...
Kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa hutolewa hati.Hiki ni cheti ambacho mmiliki halali wa kiwanja husika hupewa.
Zifuatazo ni faida chache za kumiliki kiwanja kilichopimwa na kusajiliwa;
1. Ni...
Mzee mmoja alisema Waafrika tuna FRESH and UNUSED BRAIN. Siku tukisema tubadilishane BONGO wazungu watumie hizi zetu, dunia wanaweza kuihamishia MARS.
GIZA LA NJAA
Kwa mshtuko kabisa, 60% ya...
Niko hapa mbeya, leo nimejiunga kifurushi cha mwezi mzima ili nifanye kazi zangu vizuri kabisa
Nimejiunga saa 2 asubuh ila mpaka muda huu saa 12 jioni hakuna connection ya internet
Nimepiga...
Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu.
Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017
opareshen itafanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.