Wandugu,
Nimepata tenda ya kuuza dagaa wa kukaangwa wale kuwatuma US naombeni msaada nihatua gani nipitie na njiagani ambayo ntasafirisha kwa urahisi naanda na 10kg za dagaa ambazo nauza kila...
Jamani nimekaa naona maisha sasa hali sio nzur nimeamua sasa nitafute mbinu tegemezi ya uchawi Lakin mimi nimgeni nimwulizia Lakin jibu sijapata zuri. Naombeni kwa mwenye ufahmu wa haya anielekeze
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la...
HII NDIYO VITA DHIDI YA MAKONDA
-------------------------------------------------------------------------------------
Ushawahi kujiuliza kwa nini??? baadhi ya wanasiasa bila kujali vyama wanatumia...
Wanabodi,
Kuna vurugu kubwa maeneo ya stend ndogo Arusha Jiji la Arusha, vurugu hizi zimesababishwa na hatua ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kutoa barua za kuwapa vibanda madalali ambao hawafanyi...
BINADAMU MWENYE UMRI MREFU ZAIDI DUNIANI ANAISHI TANZANIA.
Ndugu Ambilikile Mwanyaluke Panja Mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Ihanda ndiye Binadamu aliye na Umri mkubwa kuliko wanaodaiwa...
Ndugu zangu wana JF jukwaa ambalo ni Darasa tosha,kuna Jambo naomba kueleweshwa pia kuelimisha wengine ambao watapitia katika Andiko hili;-
Huku maofisini pamejitokeza Sintofahamu ya Baazi ya...
Wanajamvi nianze kwa kuwasalimia.
Ni hivi juzi tumepokea taarifa ya ndugu zetu kukosa sifa za utumishi serikalini. Naamini kwa namna moja ama nyingine wote tumeguswa maana kile kishindo mwangwi...
Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi...
Tanzania Breweries Limited (TBL) mmekuwa innovative sana, mnakwenda na nyakati na mazingira halisi ya wateja wenu. Mmetuletea kitu roho inapenda, bia ndogo ambayo ipo friendly sana na hali halisi...
Kwa wale rafiki zangu 10,000 walio achishwa kazi na wale watakao endelea kuachishwa hizi ni mbinu saba zitakazo kufanya uendelee kuwa imara kiuchumi.
1. Kubaliana na khali halisi , wala usione...
Kuna tetesi vigogo wakubwa wamehonga huko baraza ili kupona ktk sakata la vyeti feki.
Wengi wao ni waliorekebisha division na ufaulu wao.
Na Bashite pia asiachwe
Hivi hii scandal ya watanzania kuteswa na kufanywa watumwa Dibai mbona kimya kimezidi toka wizara ya kazi, mambo ya nje, balozi na zaidi Mbunge bwana Mtemvu na kampuni yake hii ya watumwa?
Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), kimepanga kumfikisha kwenye vyombo vya sheria Mkuu wa Wilaya Arumeru, Alexander Mnyeti, kwa kutoa amri ya kumuweka mahabusu mwandishi wa Kituo...
Hbr Wana Jf.Kuna Mtu Kanitonya Kuwa Kilindi Tanga Kuna Watu Wanalishana Maneno Na Vitendo Kufukuliana Makaburi Kupokonyana Mkate Itakapofikapo Mitihani Ya Taifa Mwaka Huu? Wana Kilindi Tuambieni
Kwa wale wataalamu wa maswala ya IT ningependa kuuliza hivi mtu kama system admn akigundulika na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini au ofisini.
Ninavyofahamu Mimi mtu yoyote katika tasisi...
Kama title inavyosomeka, katika halmashauri ya Ushetu iliyoko ndani ya Wilaya ya Kahama Wastaafu wa kada mbalimbali wamejikuta wako matatani kwa mtindo ufuatao:
Baada ya kusitafu almost wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.