Serikali ya double standard ndio inawasumbua vichwa watumishi walioondolewa katika ajira zao.
Serikali itende haki kwa yeyote bila kujali nafasi yake ione kama kutakuwa na malalamiko kiasi hiki.
Mwenyezi Mungu alitoa amri kumi zifuatwe na wanaadamu wote na sio baadhi wasizifuate.
Tukikuombea basi na wewe jaribu kufuata amri za Mungu na utende haki.
hizi ni fununu hata mimi ningekubwa na panga hili ningetengeneza tetesi kama izi ili kuuchafua kabisa mpango huu uonekane wa uonevu
Ila ukweli walio foji vyeti washughulikiwe, kama unamfahamu kigogo hata mmoja aliye achwa mseme hadharani humu mbona tunafunguka tu hakuna shida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.