Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Kwa wale wataalamu wa maswala ya IT ningependa kuuliza hivi mtu kama system admn akigundulika na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini au ofisini.
Ninavyofahamu Mimi mtu yoyote katika tasisi akifikia level ya kuwa IT system admn anakuwa ni mtu hatari sana katika maswala ya usalama wa taifa kwa sababu system admn anaweza Ku hack system serikali, kuiba taarifa za siri na muhimu na pia system admn anaweza kufanya udukuzi kwenye system ambayo IPO weak .....
Nchi kama marekani iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi kwa mwana mama Angela markel kupitia simu yake ya mkononi, nchi kama urusi iliwahi kushutumiwa kufanya udukuzi uchaguzi Mkuu wa marekani,......
Lakini pia nchi kama marekani hadi Leo Bado wanapata shida kuhusu Edward snowden mmoja kati ya "system admn" aliyefanya kazi muda mrefu serikalini ambaye Leo hii Bado anawasumbua akili . ...
Huku nchini kwetu kuna issue ya kuwaondoa watendaji wa serikalini wenye VYETI FEKI sasa Leo nilitaka kufahamu ivi mtu kama system admn akiwa na VYETI FEKI anaweza kuondolewa kazini....