Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna siku nilisafiri kutoka Dar kwenda Iringa kwa usafiri wa gari la magazeti.....tulitoka Ubungo saa 5 usiku na tulifika Iringa saa 11 alfajiri. Ile speed ilikuwa inanitisha sana...kuna sehemu...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habar za midaa hii wana jf? Wacha niende kwenye mada husika.Mara nyingi huwa najiuliza maswali hii hali inatokana na nini? Unakuta kuna wakati mambo yako yote yanaenda kombo.mfano marafiki wote...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari ya jioni wanaJF, Huu ni muendelezo kuhusu habari niliyoleta jana kuwa Watoto wa bosi yake kaka wamewapa mimba mabinti za kaka Leo hii jioni kaka kapigiwa simu na bosi arudi wakazungumze...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanahama hama wanatafuta nini....Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
910 Views
Naimani kabisa pesa zilizoachwa kwenye mifuko ya hifdhi ya jamii na watumishi wa umma ni nyingi sana. Je wewe binafsi kutokana na agizo la rais la watumishi kutopewa fedha hizo ungependa zifanye...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimemsikilizz jionibhii akilizungumzia jengo la yanga linalotaka kupigwa mnada kiukweli sijamfurahia amejua na maneno ya kejeli sana eti anataka kulinunua afugie samaki huyu jamaaa
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Maeneo ya mbagala wilaya ya temeke yamepakana na mkoa wa pwani ambao siku za hivi karibuni kumetokea matukio mengi ya uhalifu, binafsi ndipo napoishi, changamoto moja ni kwamba huwa nafika usiku...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, katika pitapita zangu huku na kule; nimekutana na habari muhimu inayoifaa Tanzania. Habari hii inahusu upatikanaji wa bidhaa tunayohitaji kwa sasa kuboresha uchumi wetu. Bidhaa hii...
12 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakati sasa tukiwa katika mjadala wa "VYETI feki "na wengine kufika hatua kuwasema vibaya waliofoji 'VYETI mitandaoni na wengine wakishangilia watu kuondolewa maofisini " kuna kitu ningependa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani naomba mnieleweshe wakuu kuhusiana na uhakiki wa umri kama alivyosema mheshimiwa rais, unafanyika kwa njia zipi? Maana kuna watumishi ni wa siku nyingi makazini hawana vyeti vya kuzaliwa so...
2 Reactions
65 Replies
8K Views
Jiji limekaa kama beseni. Mvua ikinyesha maji kila kona. Huku uswahilini, nje ya jiji na maeneo ya miinuko njia zinateleza utadhani zimepakwa sabuni ya magadi ... Natamani Tanzania ipate pesa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Upimaji wa VVU nyumba kwa nyumba wakanushwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amekanusha uvumi wa mitandaoni kwamba zoezi la upimaji nyumba kwa nyumba umetangazwa na Bwana yule DB.
0 Reactions
1 Replies
961 Views
10 Amazing Facts of People Born In May People born in May are usually self-dependent and don’t rely on others for their basic needs. They show possession for the things in their lives and for...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu kuna jamaa ananitumia video za kuhusiana na PIONEERS sasa hapo ndo sielew ananiambia nitapewa invitation kwenye hili jambo jamaa ni mganda Kwa anaejua anieleweshe maana sielewi chochote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sasa watu walisema ni vigumu serikali kujua watumishi wa makampuni na mashirika ya binafusi ni hivi kwa sasa wana majina yote ya watumishi wa private ambayo wameyapata kutoka Databases za mifuko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapacha hao Maria na Consolatha wamepewa upendeleo maalum watakapofanya mitihani ya kidato cha 6 kwa kuongezewa saa 1 la ziada la kufanya mtihani
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wa majimaji wanaendelea kushambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni askari magereza wa kijijini hapa baada ya kutokea kutoelewana baina yao kufuatia kitendo cha askari hao kuwajeruhi vujana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom