Ni kweli huduma za afya kwa watoto chini ya miaka 5 ni bure?

si kweli hata ile kusema wajawazito wanatibiwa bure ni uongo we jaribu kwenda sinza palestina manesi wapale wanamaneno machafu sana utasikia "mnabebeshana mimba huko halafu mnakuja mikono mitupu tutawahudumiaje?"
 
Hahahahaha hapo chacha
 
si kweli hata ile kusema wajawazito wanatibiwa bure ni uongo we jaribu kwenda sinza palestina manesi wapale wanamaneno machafu sana utasikia "mnabebeshana mimba huko halafu mnakuja mikono mitupu tutawahudumiaje?"
Very sure..
 
Duuuuuhhh!!

Kuna maneno unaweza kuambiwa kama ulikuwa na njaa kali ya kutokula siku kadhaa, utashiba hapohapo
 
Hakuna huduma ya bure kwa watoto chini ya miaka mitano wala wazee kwenye hosptali za umma.Ukienda kwenye hosptali za ngazi ya mkoa,awe mzee au mtoto chini ya miaka mtano hata mjamzito,kama haujaomba kibali cha kuonesha wewe ni mzee au mtoto au mjamzito japo unaonekana kabisa mjamzito au mzee au mtoto.Wanakulipisha kuanzia hela ya kufungua file hadi huduma.
 
Vituo vya afya, na hosptali za wilaya ni bure na si mara ya kwanza kupeleka mtoto mara nyingi tu naenda.
 
Back
Top Bottom