Huku madawa kulenya ya huku Makonda

ambaga1717

Member
Apr 4, 2017
85
32
HII NDIYO VITA DHIDI YA MAKONDA
-------------------------------------------------------------------------------------
Ushawahi kujiuliza kwa nini??? baadhi ya wanasiasa bila kujali vyama wanatumia nguvu kubwa kumshambulia MAKONDA. Tafakari kwa kina na jiulize kidogo! Jiulize tena…..! Ok najua umeelewa kitu hapo, ila nitawapa kwa ufupi kidogo mengine nitaomba mjazie hapo chini…… comments

Utagundua kwamba vita ya madawa ya kulevya ndio imezua hoja mbalimbali za kumchafua MAKONDA .

Utangundua vita hiyo dhidi ya makonda ni kutaka kujibu mapigo ya kile alichokianzisha KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA. Hapo hapo utagundua kuwa wabunge wanaopambana na makonda kwa hasira ni associate wa wauza madawa ya kulevya kwa namna ingine hawa viongozi wanashirikiana na wauza madawa ya kulevya kupambana na serikali.

Imagine TLS, Bi. Mange Kimambi, baadhi ya wabunge wa CHADEMA na CCM na vyama vingine ni associate wa wauza madawa ya kulevya.

WAMEVAA NGOZI ZA KONDOO, NI CHUI HAO, WAOGOPE SANA! TENA SANA!

[HASHTAG]#SayNoDrugsTz[/HASHTAG]
by tanzania yetu page

makonda.jpg
 
Siku hizi wote wanaoipinga govt ni walikua wapiga dili na mafisadi, ila kwa vile Tz elimu ya uraia iko ICU mnafanikiwa kuwashika akili
 
hivi kesi ya mbowe, manji imeishaje manake hizi kesi zilikuwa hot sana lakini sasa kimya
 
Ni kweli uliyonena.

Ila bado wanajaribu, bahasha za khaki zinayembea pia kwa wengine ili wamsingizie kila wawezacho kujaribu. Uzuri ni wanagonga mwamba tu, na bado watatoa machozi ya damu.

Makonda oyeeeeeee
 
Hiyo vita feki imeishia wapi sasa...??? au ndio funika kombe boya apite
 
Back
Top Bottom