Namuomba mtu anayefanya kazi DAWASCO ofisi za Mbeya

Status
Not open for further replies.

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Wakuu habar zenu
Kama kuna anaye Fanya Kazi dawasco ya Mbeya (Mbeya uwsa) ..naomba anichek pm
 
Daa hatari sana.
Kwani Dar es salaam na Tanzania wap mbali?. (dawasco ya mbeya)zero brain ahsante
 
Wakuu habar zenu
Kama kuna anaye Fanya Kazi dawasco ya Mbeya (Mbeya uwsa) ..naomba anichek pm
Ni makosa makubwa. Siyo kila Mamlaka au kampuni inayohusika na Maji iitwe DAWASCO.Ilikua na jina moja la NUWA enzi hizo. Ila kwa sasa kila Mkoa/Mji una jina lake kwa ufupi:-
Morogoro-MoRuwasa
Dodoma-Duwasa
Mtwara-Mtuwasa
Dar(DAWASA,na Kampuni ya DAWASCO)
 
Mkuu mimi niko DAWASCO lakini ni hapa Dar sasa sijui kama tumefungua tawi huko Mbeya hebu ngoja niulize kwa Mkurugenzi wetu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom