hapo kuwaondoa kwa kufuata sheria kanuni na taratibu hapo sawa sio kuwaambia tarehe 15 usiwakute ofisini vinginevyo utawaitia polisi.
Dah 15000 tu... Mbona walituhahid 52000+10000
Hizo nyingine 52000 naona zitakuwa mwezi wa 7 budget ipiteDah 15000 tu... Mbona walituhahid 52000+10000
Hawakwenda navyo dodomaMbona sijaona muhuri na mkwaju....
Watoe matangazo ya kazi sasa.Kweli kufa kufaana, haya changamkieni kazi hizo
kwa awamu weye unataka kwenye kampeni wasimwage ajira?sio 61000 tena?
tumegundua kumbe siyo vyeti feki ila mabadilishano anatoa waliokuwepo ili awafurahishe wengine waliokuwa nje
Huna mzazi aliyestaafu eeeh?Hivi kati ya waliostaafu na wanapata pensheni hakuna wenye vyeti feki? Ingefaa nao vyeti vyao vihakikiwe pia kwa kuwa waendelea kula kodi zetu ili wasio stahili wasitishiwe malipo hayo.
Nawasilisha.