Msaada kwa wazoefu wa kusafirisha package nje ya nchi

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,413
6,134
Wandugu,

Nimepata tenda ya kuuza dagaa wa kukaangwa wale kuwatuma US naombeni msaada nihatua gani nipitie na njiagani ambayo ntasafirisha kwa urahisi naanda na 10kg za dagaa ambazo nauza kila kilo dollar $22.
 
Marekani Dagaa kwa parcel ni tatizo....tumia cargo.halafu lazima upate permit toka food authority ya huko.
 
Wandugu,

Nimepata tenda ya kuuza dagaa wa kukaangwa wale kuwatuma US naombeni msaada nihatua gani nipitie na njiagani ambayo ntasafirisha kwa urahisi naanda na 10kg za dagaa ambazo nauza kila kilo dollar $22.
kama ukitumia huduma za shirika la posta tanzania ni vyema ukatumia EMS kwani gharama za
EMS kwa Marekani ni ndogo kuliko Ordinary Parcel na unatakiwa kwenda kulipia Kibali katika ofisi
ya mamlaka ya chakula na dawa TFDA. na ufike na huo Mzigo katika ofisi ya Posta ambayo ina afsa wa Custorms kutoka TRA ama kama kuna agent pamoja na mzigo wako ukiwa bado hujaufunga hivyo utakwenda,Kujaza declaration forms za custorms n kuufunga mbele ya Custorms Officer.kisha utaupeleka katika kaunta ya Posta kwa ajili ya kuutuma. na kupwewa Gharama either kama utatumia Ems ama Ordinary post gharama itategemea uzito wa kifurushi chako. asante
 
Asante Mkuu ngoja nianze mchakato jumatatu
 
Back
Top Bottom