Vyeti feki na uelewa potofu wa baadhi ya viongozi wetu

msonganzila

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
204
105
Ndugu zangu wana JF jukwaa ambalo ni Darasa tosha,kuna Jambo naomba kueleweshwa pia kuelimisha wengine ambao watapitia katika Andiko hili;-
Huku maofisini pamejitokeza Sintofahamu ya Baazi ya viongozi wetu kuwasumbua wale wafanyakazi ambao Majina yao yameonekana kwenye Rist ya Vyeti Feki,Viongozi hao wanasahau kuwa Vyeti hivyo Feki wapo ambao ni Original, kwa hapa naomba kueleweshwa pia kuelimisha na wengine watakaosoma hapa....
Kuna baazi ya watu au Wafanyakazi Vyeti vyao vilitumika vibaya au kwa kuibiwa au kwa njia yoyote yote ile,Katika Uhakiki uliopita walipeleka Vyeti vyao kuhakiki na Maofisa walijiriIsha kuwa ni Sawa ni kweli Original,wakaendelea na kazi, kumbe huko nyuma yupo MTU alikuwa na Vyeti Vyeti kama hivyo hivyo ila Feki akiwa Dereva na mwenye Vyeti Original ni Mhasibu,sa kilichojitokeza yule Dereva mwizi Wa Vyeti ameshindwa kupeleka Vyeti Original kwani hana kwa sababu anavyo yule Mhasibu,akakimbia kazi Dereva,sa Ofisi ambayo Dereva alikuwa akifanya kazi wanamfahamu kwa jina Feki na ndio lililoandikwa Gazetini na sehemu zingine za Habari,jina hilo Feki kwa Dereva kwa Mhasibu ni Original, Sa Usumbufu umekuja kwa wale ambao majina yao yalitumika na hao wezi Wa Vyeti huko kwenye sehemu zao za kazi,Sa ninachopenda kupata Elimu ni hapa,Mwajiri alihakiki Vyeti akajiriIsha kuwa Mhasibu yupo sawa,na Hata akihitaji tena Vyeti atapata Original kabisa,ila kwakuwa katangazwa kwenye Vyombo vya habari hawamhitaji Mhasibu wao,wanaosahau kuwa Vyeti Feki ni hivyo hivyo wengine ni Original, hawataki kabisa kujirizisha kuwa aliepo kwenye Magazeti ndio hasa Mwizi Wa Vyeti,kwa Hapo mwenye Vyeti Original anakosa Gani....?? Msaada ndugu zangu.....
 
Ndomana wakapewa muda wa kukata rufani ili kuthibitisha pia itakuwa imemsaidia mwenye cheti halisi kumtambua mwizi wa cheti chake sasahapo tatizo lipo wapi
 
Mwizi wa cheti atajulikana hatakuwa na cha kupeleka ,na huyo mwajiri ajirithishe achukue cheti chako orginal akakihakiki kama anawasiwasi mbona iko clear tu.
 
Sasa apo mkuu umenikoroga kiufupi sijakuelewa imekuwaje watumie cheti kimoja watu wawili kimoja kiwe feki kingine orignal ??? Na kama uyo dereva hakupeleka cheti kwa sasababu cheti alikuwa nacho uyo muhasibu inakuwaje dereva anaingizwa kwenye majina ya watu wenye vyeti feki bada ya kuingizwa kwenye watu wasiokuwa na vyeti?? Mkuu ww nenda kalime tu iyo nafas ya uhasibu waachie wenye vyeto orignal
 
Ndugu zangu wana JF jukwaa ambalo ni Darasa tosha,kuna Jambo naomba kueleweshwa pia kuelimisha wengine ambao watapitia katika Andiko hili;-
Huku maofisini pamejitokeza Sintofahamu ya Baazi ya viongozi wetu kuwasumbua wale wafanyakazi ambao Majina yao yameonekana kwenye Rist ya Vyeti Feki,Viongozi hao wanasahau kuwa Vyeti hivyo Feki wapo ambao ni Original, kwa hapa naomba kueleweshwa pia kuelimisha na wengine watakaosoma hapa....
Kuna baazi ya watu au Wafanyakazi Vyeti vyao vilitumika vibaya au kwa kuibiwa au kwa njia yoyote yote ile,Katika Uhakiki uliopita walipeleka Vyeti vyao kuhakiki na Maofisa walijiriIsha kuwa ni Sawa ni kweli Original,wakaendelea na kazi, kumbe huko nyuma yupo MTU alikuwa na Vyeti Vyeti kama hivyo hivyo ila Feki akiwa Dereva na mwenye Vyeti Original ni Mhasibu,sa kilichojitokeza yule Dereva mwizi Wa Vyeti ameshindwa kupeleka Vyeti Original kwani hana kwa sababu anavyo yule Mhasibu,akakimbia kazi Dereva,sa Ofisi ambayo Dereva alikuwa akifanya kazi wanamfahamu kwa jina Feki na ndio lililoandikwa Gazetini na sehemu zingine za Habari,jina hilo Feki kwa Dereva kwa Mhasibu ni Original, Sa Usumbufu umekuja kwa wale ambao majina yao yalitumika na hao wezi Wa Vyeti huko kwenye sehemu zao za kazi,Sa ninachopenda kupata Elimu ni hapa,Mwajiri alihakiki Vyeti akajiriIsha kuwa Mhasibu yupo sawa,na Hata akihitaji tena Vyeti atapata Original kabisa,ila kwakuwa katangazwa kwenye Vyombo vya habari hawamhitaji Mhasibu wao,wanaosahau kuwa Vyeti Feki ni hivyo hivyo wengine ni Original, hawataki kabisa kujirizisha kuwa aliepo kwenye Magazeti ndio hasa Mwizi Wa Vyeti,kwa Hapo mwenye Vyeti Original anakosa Gani....?? Msaada ndugu zangu.....

Unachozungumzia wewe bado hakijatokea.. iko list ya wanaoshare vyeti hii itakuja (tuliambiwa). Kuhusu vyeti feki ni kuwa cheti kimeangaliwa kikakutwa ni feki, kimebadirishwa kitu na sio kilichopo NECTA.

huyu Mhasibu wako kama anajiamini, aaandike tu barua kama ilivyoelekezwa.
 
Back
Top Bottom