Maisha bana popote, huwezi jua Mungu kakuandikia nini mbeleni. Kuna wakati tusilazimishe mambo bhana. Kuna kazi nyingi sana mtaani.
Ila UTAJISKIA VIPI UNAAMKA KESHO HAFU KUMBE SUALA LA KUFOJI...
Kama una hela yako ambayo umeiweka tu kwenye kibubu ambacho hakizalishi na una lengo la kufanya vitu baada ya mwaka au miezi kadhaa ijayo ipo njia rahisi ya kufanya ingia kwenye Simu yako piga...
Kwamfano kukawa na teknolojia ya kuwauwa Mbu woote Duniani,
Alafu hiyo teknolojia ikatumiwa kisha
Matokeo yake mbu woote wakauwawa,
Je, Unadhani itakuwa ni faida kimazingira & kiuchumi, au...
Habarini Wadau,
Hivi mkoa wa Kilimanjaro na nchi ya Zanzibar ni wapi pameendelea zaidi?
Mfano ni huduma gani ya muhimu inayopatikana zanzibar ambayo nitaikosa Kilimanjaro zaidi ya beach/bahari...
Ndugu wadau,
Kuna jambo linanitatiza katika mpangilio wa ufanyaji biashara wa hili shirika la umeme TANESCO. Mimi nahitaji kuunganishiwa umeme katika nyumba yangu umeme ambao nitakuwa naulipia...
Hivi haya makampuni ya simu haswa tigo na voda yanaona yametushika sana!! hivi ni lini mitandao itatulia kusiwe na kukata kata? Hivi hamjifunzi kwa nchi zilizoendelea ambapo mtandao ukileta shida...
Kwa kauli ya mweshimiwa mwakyembe...aliyoitoa bungeni kuwaomba chadema kurudisha swala la richmond bungeni..na yeye yuko tayali kuweka rehani uwaziri ili alishugulikie kikamilifu... na Lowassa...
HOW TO BECOME SMARTER
Exercise Your Brain
Just like you workout to build and strengthen your muscles, your brain, too, requires proper exercises to sharpen itself. Often, it is assumed to be a...
Angalia viganja vya mikono yako, je vina mistari? Na kama ipo, je, kuna mtu anayeweza kuifuta na kuiondosha?! Naamini jibu litakuwa ni hapana! Basi kama hakuna, tambua kuwa hakuna anayeweza kuzuia...
Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
Kutokupenda kufuata sheria bila shuruti
Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
Kutokupenda kubandika bei za bidhaa...
Wadau kama mnakumbuka kwenye mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na brands mbalimbali za simu za mikononi kama Motorola,Siemens,Alcatel,Sagem,Philips,Bird,Ericksson na nyinginezo.
Lakini mpaka...
Habari zenu wana JF,
Napenda kuchukua fursa hii kupongea Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa uzalendo na utendaji kazi wao uliotukuka kwa kudhibiti bei ya bidhaa ya...
Tuchangie hoja bila matusi wala jazba nimeitoa sehemu:
#Foleni kubwa ya magari TAZARA: Je ni askari wa barabarani kushindwa kuongoza magari ? Wananchi wahofia kupoteza 'vibarua'vyao.
=======
Ni...
Wandugu,
Nimepata tenda ya kuuza dagaa wa kukaangwa wale kuwatuma US naombeni msaada nihatua gani nipitie na njiagani ambayo ntasafirisha kwa urahisi naanda na 10kg za dagaa ambazo nauza kila...
Jamani nimekaa naona maisha sasa hali sio nzur nimeamua sasa nitafute mbinu tegemezi ya uchawi Lakin mimi nimgeni nimwulizia Lakin jibu sijapata zuri. Naombeni kwa mwenye ufahmu wa haya anielekeze
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.