Mwenye cheti hiki siyo feki

senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
2,063
1,616
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli.akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alisha apa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo.na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Shetani kutetea shetani mwenzake ni kawaida tuu more to Come ..............
 
Mkuu hiyo ndo jinai kabisa.Yahani uchukue cheti cha kidato cha nne cha mtu then ukakitumie katika taaluma fulani then ukaenda kuapa mahakamani ili utambulike kwa jinahilo jipya inakuwa si kosa!!.Ingekuwa hivyo vyeti vya marehemu vingekuwa vinauzwa madukani then mnunuzi anaenda kuapa mahakamani tu.
 
Kama shida yako ni attention tu, basi umeipata!!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sheria ni taaluma sio jinsi unavyofikiri wewe, kama hakuna mtu aliyelalamika kuibiwa cheti wewe huwezi kumtuhumu aliye na jina eti ameghushi I think mahakama ndiyo sehemu sahihi kutatua suala hili!
 
Hilo ni kosa la jinai na linaitwa personation, yaani kujifanya mtu mwingine hali ukijua siyo sahihi.
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli.akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alisha apa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo.na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Hivyo Cheti unakuta kinatumika Na watu wawili au zaidi. Original na aliowapa photocopies yake. Mfano miaka ya 80s, 90s ulikuwa unakwenda chuo moja kwa moja kwa kuchaguliwa Na Serikali. Ulikuwa unaweza kupata Ualimu, unesi, uhasibu ukaamua kumpa ndugu,rafiki aende kwa jina lako
Halisi wewe ukatafuta Kozi uipendayo kwa Cheti hicho bila utata. Waajiri na vyuo hawakuwa wanahakiki Vyeti. Wengi walifanya hivyo. Au umepata FFF na D's unafuta unaweka As,Bs unatengeneza kipya.
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli.akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alisha apa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo.na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Datz tru
 
Mkuu hiyo ndo jinai kabisa.Yahani uchukue cheti cha kidato cha nne cha mtu then ukakitumie katika taaluma fulani then ukaenda kuapa mahakamani ili utambulike kwa jinahilo jipya inakuwa si kosa!!.Ingekuwa hivyo vyeti vya marehemu vingekuwa vinauzwa madukani then mnunuzi anaenda kuapa mahakamani tu.
 
Mkuu hiyo ndo jinai kabisa.Yahani uchukue cheti cha kidato cha nne cha mtu then ukakitumie katika taaluma fulani then ukaenda kuapa mahakamani ili utambulike kwa jinahilo jipya inakuwa si kosa!!.Ingekuwa hivyo vyeti vya marehemu vingekuwa vinauzwa madukani then mnunuzi anaenda kuapa mahakamani tu.
 
Bashite mwenyewe hajaapa mahakamani lakini amekomalia ukuu wa mkoa ndiyo itakuwa aliyeapa mahakamani
 
Aliyemaliza form 4 au darasa la 7 akafeli, akachukua cheti cha mwingine akaendelea nacho mpaka elimu ya ngazi yoyote na mtu huyo alishaapa mahakamani kulikana jina lake la zamani na kutumia la kwenye cheti chake,

Basi mtu huyu vyeti vyake ni vya halali kabisa na asikubali lolote mpaka ikaaamuliwe na mahakama.

Hapo ndipo mtaelezwa vizuri maana ya forgery kwani watu wengi wanaongea tu kama wehu.Anayetakiwa kulalamika ni huyo atakaye kuja kudai kwamba aliibiwa cheti chake na wala si vinginevyo na ndiyo maana Mh. Makonda anawatizama kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaau !!!!!!!!

Wala msikubali kutishiwa eti kama ukikata rufaa ikibainika una tatizo yatakupata makubwa.Aliye forge cheti na yule ambaye amechezea cheti au ametengeneza cheti cha bandia.Huyu ana matatizo na aondoke haraka kazini mara moja.
Ninakubaliana na wewe kwa 100%, hapa ndipo baadhi ya watu wanashindwa kutofautisha aina ya vyeti. Kwa wale walioenda mahakamani kuapa na kupata HATI YA KIAPO CHA JINA, hawa wako sahihi na hadi leo utaratibu huu wa kuapa mahakamani kuhusu kubadilisha majina bado upo na unafanyika kwa mjibu wa SHERIA YA VIAPO. Mimi uwa ninawashanga watu wanaokomalia issue ya Makonda na Bashite. Kama ni cheti, basi mtu pekee mwenye haki ya kulalamika alipashwa kuwa Bashite na Si mwingine. Hili jambo limekaa kisiasa na hasa kutokana na operation ya madawa ya kulevya.
 
Aisee Jamhuri itamshtaki kwa impersonation. Amejifanya fulani wakati siye yeye. Unaweza kubadili jina kwa kubadili dini au mengine binafsi na si kutumia nyaraka za mtu. Usiwadanganye wenzako wakapata matatizo. Kwa kweli nyie wenye vyeti fake mmetugharimu saana kama mawazo yenu ndiyo haya.
 
Mimi ninakushauri kuwa ili uweze kuamini hiki ninachokuambia kuhusu kuapa majina mahakamani, leo tarehe 05/05/2017 nenda katika mahakama ( Ordinary Court) yoyote iliyo karibu na wewe na ninakuhakikishia kuwa utakuta watu wanaapa hii leo!
 
Wanaapa kubadili majina au wanaapa kutumia vyeti visivyokuwa vya kwao? Yaani documents zisizo zako. Na wewe kaibe gari kisha badili jina lako ili gari liwe lako. Maana hakuna namna inabidi tuelekezane kwa level hiyo mkuu.
 
Kwahiyo unafeli na kuchukua cheti cha mtu alafu unataka ionekano ni sahihi? Stages zote za elimu unapaswa kuzipitia na kufaulu, kama kuna stage ulifeli na kuchukua cheti cha mtu inamaana bado hujakamilika maana kuna stage hujaielewa ndo maana hukufaulu, kimsingi hiyo haikubaliki, unatakiwa kufaulu kuanzia unasoma vidudu(chekechea).

Ujanja ujanja hatutaki, komaa soma upate kilicho halali yako
 
Back
Top Bottom