Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,826
- 730,248
Najua kwa vyovyote una wadau humu kwahiyo watakupa taarifa ama la Pengine hata wewe mwenyewe ni member hapa
Ni wazi kwamba biashara ni matangazo na kwa sehemu kubwa ya matangazo yetu yamejaa uongo usio na uhalisia TUNAVUMILIA...!!!!! lakini uongo wako pls umepita viwango vya kawaida vya kudanganya
Una matangazo kwenye radio za kidini kila asubuhi kwamba kozi yako ya kufundisha kiingereza kwa mfumo wa kipekee inayochukua miezi mitatu ni shilingi laki tano za kitanzania na kama mwanafunzi atakayeshindwa kuongea kiingereza kwa kipindi hicho utamrudishia ada yake yote...!!! Ni ubunifu na ni tangazo zuri lililoteka wengi japo halina uhalisia hata chembe...!!!! Kufaulu ama kufeli kwa mwanafunzi kuna mengi ndani yake
Kero yangu hii hapa
Kama ada ni laki tano lakini katika tangazo lako unasema atakayelipa leo atalipa laki mbili tu!!!! Uhalisia uko wapi hapo? Hiyo ni discount gani isiyoleta mfanano? Tangazo kila siku ni hilo hilo mpaka sasa watu wanajua fika kwamba kusoma lugha ya kiingereza kwako si laki 5 bali ni laki 2...
Sitaki kujadili wafaulu wako kwakuwa ni janga la kipekee lakini pls punguza skonyo kwenye matangazo yako