Namshukuru Mungu nimepona

Namshukuru Mungu nimepona

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Sifa na Utukufu kwa Mungu Baba Muumba mbingu na Dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana Tangu mwaka Jana kuanzia mwezi March nilikuwa nasumbuliwa sana na mwili wangu nikaenda hospital nikawa napata matibabu lakini nini endelea hadi mwaka huu ,hadi mwaka unapinduka bado nikawa na maumivu,tulipofika kwaresma nikaweka malengo
1:Nikafunga kwa kujinyimq au kubadiri ratiba yangu ya chai kila saa sita nasali kwanza ndio nakunywa chai kwa kawaida uwaga saa tatu nakunywa chai
2:misa ya alhamisi kuu tukaenda kwenye misa nikiwa na lengo la kuyaacha magonjwa msalabani
Namshukuru Mungu nipo vizuri sana na nipo happy sana
Amen
 
Umeenda hospitali, madaktari wamekutibu, shukurani unampa Mungu.
 
Amen amen amen in the Almighty name of jesus
 
Mungu aliye hai bila yeye kutia baraka zake hata hao matabibu waliomtibu wasingefanikisha kazi yao ya kumponyesha kiumbe huyu na ndio maana shukrani zinaanzia kwake.
Kama kuna Mungu aliye hai kungekuwa hamna wagonjwa kabisa.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom