UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hbr Za Asubuhi Jf.Kaka Amezungumza Na Bosi Wake Huku Akiomba Jambo Hilo Lisiende Mbali Wamekubaliana Kuwa Bosi Atawatunza Watoto Wote Wawili Pia Kaahidi Kuwasomesha Lkn Tatizo Lipo Kwa Mtendaji Na Mwalimu Mkuu Mratibu Elimu Kata Kakubali Kupotezea Hilo Jambo Kasema Hatachukua Hatua Yoyote Na Analijua Bosi Kakata Mpunga Mnene Kaka Kaanza Kulegeza Kamba Hv Sasa Kapewa Pikipiki Afunge Domo.Pesa Mbaya Sana Aisee.