Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,411
Ubalozi wa Umoja wa Ulaya (Tanzania) leo umezungumzia changamoto zinazovikumba vyombo vya habari nchini.
Balozi Roeland Van de Geer amesema uhuru wa kujieleza ni haki ya msingi ya wananchi na wataendelea kulisisitiza hilo katika vikao vyao na Serikali ya Tanzania.
Kwa upande mwingine Afisa Habari wa Umoja huo hapa Tanzania, bi. Suzanne Mbise alijibu swali letu juu ya mwanya ulioachwa na Uingereza baada ya kujivua uanachama wake ndani ya Umoja wa Ulaya.
Chanzo: Kwanza TV