Hivi Magazeti yetu yana Wahariri?

The Farmer

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,658
558
18222174_1364004273660576_4165910510621149393_n.jpg
 
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba hilo ni Gazeti ambalo kutwa linajigamba kuwa ndiyo bora hapa Tanzania na hata hivi majuzi tu Waandishi wake wa Habari wengi wamezoa ' Tuzo ' kwa Kazi zao. Kwa ' upuuzi ' huo sasa naanza kuhisi kuwa yawezekana kumbe hata zile Tuzo labda huwa zinatolewa kwa ' ulakini ' na kuna ' usanii ' mwingi mule. Yaani Kitaaluma ni kheri ukakosea Kiuandishi katika Kurasa za ndani kuliko katika Front page. Hii kitu inapunguza ' Credibility ' ya Chombo husika kwa kiasi kikubwa mno. Kiueledi kabisa hilo siyo jambo la kulifurahia na hapo kuna ' uzembe ' mkubwa sana ulitokea ambao haupashwi kujirudia tena.

Hilo ni Gazeti la MWANANCHI kama sijakosea.
 
Hilo kosa hata mimi limenishangaza sana. Hata hivyo lawama ziende kwa proof readers wa kampuni.

Vv
 
Typographical error hata wewe limeshakukabili mara nyingi tu sisi ni binadamu kuna wakati tunachoka hata tungekuwa kundi,kumbuka kazi ya media ni ya mchakamchaka sana, binafsi naona ni kosa la kawaida ambalo halikunuiwa!
 
That's not human error at all.
That's professional error!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom