Funzo: Umuhimu wa salamu kwa mlinzi wa getini

mwanza home

Member
Jan 20, 2017
14
18
FUNZO KUBWA SANA HILI

Mwanamke mmoja alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha kusindika nyama. Siku moja baada ya kumaliza kazi zake pale kiwandani alienda katika chumba chenye freezer (cold room) ambako nyama zilikuwa zikihifadhiwa kukagua vitu fulani. kwa bahati mbaya wakati yupo kwenye hicho chumba cha ubaridi mlango ulijifunga na kijilock kwa nje. na hakukuwa na msaada wa kuweza kuufungua mpaka kuwepo mtu wa nje.

Ingawa alilia na kupiga kelele za kuomba msaada wa kufungiliwa lakini kelele hizo hazikuwa rahisi kusikika nje ya hicho chumba kidogo, na wafanyakazi wengi pale kiwandani walikuwa washaondoka.

Masaa matano baadae akiwa katika hali ya kukaribia kukata roho kutokana na baridi kali ya hicho chumba, mlinzi wa geti la kiwanda hicho alifungua mlango wa cold room alimokuwamo yule mwanamke. Na baadae baada ya kutolewa na kupata nafuu alipata wasaa wa kumuuliza yule mlinzi ilikuwaje na akafungua mlango wa cold room wakati ilikuwa si ratiba yake na vile vile si kazi yake?.

Maelezo ya yule mlinzi, ''nimefanya kazi kwenye hichi kiwanda kwa miaka 38 sasa, mamia ya wafanyakazi wanatoka na kuingia kiwandani lakini wewe peke yako kati ya wote uliyekuwa ukithubutu kunisalimia asubuhi na kuniaga kila jioni unapoondoka kiwandani, wengine wanani-treat kama mtu nisye na thamani na ambaye sipo katika ulimwengu huu.

Leo ulipokuja kazini asubuhi ulinisalimia kama kawaida ya tabia yako ya kujali ilivyo ''uliniambia habari za asubuhi na tukafurahi kwa dakika mbili, lakini leo baada ya muda wa kazi kuisha sijapata kwa heri yako na ile ya kunitakia joni njema na kubaki salama. Hivyo nilachukua uamuzi wa kuzunguka kwanza humu ndani kuangalia kama upo kwa sababu kujali kwako kumekuwa kukinifanya na mimi nionekane ni mtu katika ulimwengu huu.

Kwa kutokupata farewell yako siku ya leo nikagundua tu kuna baya litakuwa limekupata. na ndipo nilipokukuta kwenye chumba cha barafu.

FUNZO

Ishi vizuru na kila mtu, be humble to every one, mheshimu kila mtu wakubwa na wadogo. Try to have an impact on people who cross your path every day kwa sababu huwezi jua kesho yako imebeba kitu gani.

MUST read!!!!!! Share tafadhali TUMA OMBI LA URAFIKI KWANGU UENDELEE KUPATA HIZI ELIMU
 
Hadithi njoo,uwongo njoo,utamu koleaaaaaa
 
Salamu ni kitu cha muhimu sana. Mtaani nasalimiaga,mpaka wenyewe wanasema huyu dada hata usipoitikia haachi kukusalimia. naheshimu sana salamu.
 
Wenzako wengi wanashindwa kutambua kwamba dunia ni mapito..we're just passing through Super women 2..jah bless
 
Mfano wa story hii, imetokea kwangu pia, miaka ya nyuma nilipokua Procurement officer huko ukimbizini, sasa nakumbuka tulikua tumetangaza tenda ya ununuzi wa bidhaa za wakimbizi, na mimi nilikua mhusika mkuu japo kulikua na wakubwa wangu kikazi, si unajua wezetu huwa wanaheshima responsibilities za mtu. nakumbuka nikiwa msela tu nimevaa Jens yangu na t-shirt niko eneo langu la kazi ,mkandarasi mmoja '' msomi' alikuja ku submit bid zake hapo , yule bwana nadhani alitegemea kua procurement officer ningekua mwenye kitambi, na miwani na labda nimevaa suti, kwa mbwembwe akanipita na kwenda moja kwa moja kwa mzungu, alieamini kua kwa vyovyote ndio angkua boss pale ,. alipofika kule na kuulizia , yule mzungu akwamwambia '' you see the young man over-there? he is the one in charge , go and see him, sorry!!! yule nshomile alirudi pale kwangu mdogo kama piritoni. nami kwa malipizi nkamwambia , please drop it there and see you soon. Usidharau watu!!!
 
Haina haja ya kuringa katika dunia hii . mambo ya kupita tu. nasalimiaga mpaka too much.
hata mtu nikipishana nae njiani namtolea salama.sister angu ananambiaga ntakuja salimia majini. ila nimeshazoea
 
wanakujaga kurekebisha gari mtu ana kavitz kamechooka lakini anavojisikia anawaona wenye ovalori chafu kama kiny*zi, umetoa funzo sana mleta sledi
 
Mfano wa story hii, imetokea kwangu pia, miaka ya nyuma nilipokua Procurement officer huko ukimbizini, sasa nakumbuka tulikua tumetangaza tenda ya ununuzi wa bidhaa za wakimbizi, na mimi nilikua mhusika mkuu japo kulikua na wakubwa wangu kikazi, si unajua wezetu huwa wanaheshima responsibilities za mtu. nakumbuka nikiwa msela tu nimevaa Jens yangu na t-shirt niko eneo langu la kazi ,mkandarasi mmoja '' msomi' alikuja ku submit bid zake hapo , yule bwana nadhani alitegemea kua procurement officer ningekua mwenye kitambi, na miwani na labda nimevaa suti, kwa mbwembwe akanipita na kwenda moja kwa moja kwa mzungu, alieamini kua kwa vyovyote ndio angkua boss pale ,. alipofika kule na kuulizia , yule mzungu akwamwambia '' you see the young man over-there? he is the one in charge , go and see him, sorry!!! yule nshomile alirudi pale kwangu mdogo kama piritoni. nami kwa malipizi nkamwambia , please drop it there and see you soon. Usidharau watu!!!
kama nakuona vile
 
Siku moja natoka zangu coco beach kuna gari imenipita pale pale shule ya msingi oysterbay ghafla inapata pancha kashuka mdada wa kiarabu nafika karibu yake anaanza kuniambia habari za pancha oh sijui mara hapa naweza pata wapi tairi angekuwa hana shida hivi angeniongelesha au ningemuomba lift kabla gari haijapata pancha angenipa.
NAchotaka kusema kuna mtu hakusalimii akiona ana shida ndio anakuja kukusalimia au mtu anawakuta mmekaa sehemu anawapita hasalimii labda huko anakoenda anapotea njia anakuja kuwauliza pale ndio anasalimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom