Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,807
- 31,783
Baba wa mbinguni mungu awe nanyi daima wapendwa wote muaminia uwepo wake na musio amin
Mimi naomba kueleweshwa na kuondolewa utata kuhusu mungu na majina yake
Je allah ni nani na ni nini, ni sifa ya mungu au ni jina la mungu, je huyo allah ni muumbaji au naye kaumbwa, naomba ushahidi wa maandishi kuhusu uumbaji wa allah au kuumbwa kwake ushahidi huo uwe wake mwenyewe kutoka kitabu chake mwenyewe akisema mimi allah ndo muumbani
Yehova ni nani na ni nini je ni muumbaji au naye kaumbwa hivo hivo naomba ushahidi wa jehova kama hapo juu kwa allah