Mfanyakazi ninayemuongoza kaniita kichaa, nimfukuze au nimsimamishe kazi?

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
454
636
Hata mimi nikiitwa kichaa na mfanyakazi mwenzangu aliyechini yangu kwenye kampuni ninayoiongoza au shirika lazima nimpe likizo ya ghafla au kumsimamisha.

Je, nyinyi mngefanya nini?
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    8 KB · Views: 20
Fafanua lalamiko lako mkuu hata halijaeleweka unamaanisha nini wengine bado tupo tunapalilia mahindi hatujui kinachoendelea
 
Back
Top Bottom