Mchanganuo wa chakula

Ftc

Senior Member
Apr 30, 2017
144
114
Habari za asubuhi,naomba tupeane ushauri kwa sisi vijana tunaonza maisha kwenye mpangalio wa chakula,maana naona vyakula vimepanda bei sana kuanzia mchele,sembe na sukari sasa ni bora niwe napika mwenyewe au niwe nakula kwa mama ntilie vyakula vyetu vya bei rahisi pamoja na vipimo vyao huwa ni vidogo
 
Back
Top Bottom