pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 #1 Habari zenu wanajamvi, naomba kwenye majina yaliyotangazwa Jana kwa wale waliotumia cheti kimoja ayatume.
Habari zenu wanajamvi, naomba kwenye majina yaliyotangazwa Jana kwa wale waliotumia cheti kimoja ayatume.
Betterhalf JF-Expert Member Dec 20, 2016 2,879 2,557 May 6, 2017 #4 Unaweka Uzi kwa ajili ya kutumiwa majina tu? Ili iweje?
kayaman JF-Expert Member Aug 3, 2013 4,516 10,416 May 6, 2017 #5 wewe kama ulitumia cheti cha mtu jamaa amekupa muda hadi tar 14 ujiachishe kazi vinginevyo subiria miaka saba jela!
wewe kama ulitumia cheti cha mtu jamaa amekupa muda hadi tar 14 ujiachishe kazi vinginevyo subiria miaka saba jela!
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 Thread starter #7 Mafunguo 88 said: yalitangazwa na nani Click to expand... haupo nchi hii ww?? Angalia gazeti la Leo Tanzania daima
Mafunguo 88 said: yalitangazwa na nani Click to expand... haupo nchi hii ww?? Angalia gazeti la Leo Tanzania daima
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 Thread starter #8 kayaman said: wewe kama ulitumia cheti cha mtu jamaa amekupa muda hadi tar 14 ujiachishe kazi vinginevyo subiria miaka saba jela! Click to expand... we boya kweli?? wenzako wanakula kiboga?? Inamana MTU akitaka kujua jambo na yeye yumo
kayaman said: wewe kama ulitumia cheti cha mtu jamaa amekupa muda hadi tar 14 ujiachishe kazi vinginevyo subiria miaka saba jela! Click to expand... we boya kweli?? wenzako wanakula kiboga?? Inamana MTU akitaka kujua jambo na yeye yumo
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 Thread starter #9 Better post: 20996763 said: Unaweka Uzi kwa ajili ya kutumiwa majina tu? Ili iweje? Click to expand... kama huna pita kule sio lazima ucomment usilete usengerema hapa
Better post: 20996763 said: Unaweka Uzi kwa ajili ya kutumiwa majina tu? Ili iweje? Click to expand... kama huna pita kule sio lazima ucomment usilete usengerema hapa
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 Thread starter #10 mm1 said: ili uyafanyaje Click to expand... ndio nyie msiokuwa na marindaaa
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 6, 2017 Thread starter #11 mm1 said: ili uyafanyaje Click to expand... ndio nyie msioku Betterhalf said: Unaweka Uzi kwa ajili ya kutumiwa majina tu? Ili iweje? Click to expand... Umelogwa weweeee
mm1 said: ili uyafanyaje Click to expand... ndio nyie msioku Betterhalf said: Unaweka Uzi kwa ajili ya kutumiwa majina tu? Ili iweje? Click to expand... Umelogwa weweeee
Kps chad JF-Expert Member Jan 10, 2017 539 820 May 6, 2017 #12 Chukua gazeti LA Tanzania daima. Utayaona