Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi mfano nikitaka kurudi reverse katika Highways sheria inanielekeza nipite upande gani wa barabara? Naombeni msaada kuna gari imeharibika upande wa gear inakubali reverse tu na inatakiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
karibuni wazee kwani wanawawake wenye makalio makubwa wananipa pressure
1 Reactions
19 Replies
5K Views
jamani wana jf kuna jirani yangu huyo ananichukia bila sababu yaani hata sijui ni kitu gani nilichowahi kumkoseaa ,kuna muda niliwahi kumtafuta nizungumze nae kama jirani yangu kwa nijue...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muendelee kuwa kazini mpaka pale waajiri wenu watakapowaandikia barua za kuwafukuza kazi. Je wakurugenzi mudà utapofika watakubali kuandika barua hizo au watasema agizo limeshatolewa na mkuu wa nchi.
1 Reactions
3 Replies
956 Views
Keko Kuna shimo kubwa barabarani kwanza ni hatari kwa Gari kupinduka lakini pia foleni wenye mamlaka mpo wapi mahali penyewe ni keko fenirture
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Hii nchi inawatu wa ajabu sana, kila siku inaweka mazingira kandamizi kwa sekta binafsi. Inakuwaje hospital kama Bugando KCMC zinapewa ruzuku ya serikali halafu shule binafsi zinazotoa huduma kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba nishangae kidogo Eti mtu anatumia cheti cha mtu anajigamba? Huu ni uwendawazimu..nadhani watanzania tunacheza na sheria. Ina maana watu hawajui kutumia cheti cha mtu ni kosa? Hivi mtu eti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niliwahi kuleta hoja yangu kuhusu msitu huo ambao upo wilayani Kasulu lakini sijui kwanini hoja hiyo haikuchapishwa. Sielewi msimamo wa serikali kuhusiana na msitu huo ambao unaendelea kuharibiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF popote mlipo..! Naingia moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda kama heading inavyoeleza.Tujulishe Mada gani? ambayo ulileta hapa JamiiForums ili ijadiliwe na members ili...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Naangalia Clouds TV, na nipo Dodoma asubuhi hii. Katika mapitio ya habari za magazeti, kuna dada na vijana wawili wenzake. Kuna habari ya watoto wa shule kulawitiana wanaipitia toka gazeti moja...
16 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu Kijijini kwetu, mkoa wa kilimanjaro, ndani kabisa kijijini Kwa miaka zaidi ya 20, tumekuwa tukipata maji safi ya bomba kabisaa, hayajawahi kukatika. Safari hii kumetokea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Taarifa toka Jeshi la Polisi Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata magari 5 yaliyoibwa yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko Mbezi Msakuzi ( Machimbo) na...
10 Reactions
129 Replies
25K Views
Nimepatwa na maswali kiasi kuhusiana na baadhi ya watumishi ktk Sekta ya Afya kukumbwa ktk kashfa ya vyeti fake na kuondolewa ktk utumishi wa umma. Hii Sekta ya Afya ni moja ya Sekta nyeti sana...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
FISADI WA KUZALIWA Ni kwa miaka mingi nchi ya Chamongo iligubikwa na wimbi zito la ufisadi na kujilimbikizia madaraka,tena kwa wale wasio na sifa ya kuwa na madaraka hayo. Wasomi na...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameshiriki katika mdahalo wakati wa mkutano wa World Economic Forum for Africa unaofanyika Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo muhimu unaokutanisha...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa ufupi Mahojiano haya maarufu kwa jina la usaili wa ajira, yanaweza kufanywa kwa mazungumzo ya ana kwa ana au hata kwa maandishi kupitia taratibu kama mitihani. By Elizabeth Edward, Mwananchi...
8 Reactions
10 Replies
11K Views
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's Mwaka Umri 1980 37 1981 36 1982 35 1983 34 1984 33 1985 32 1986...
57 Reactions
375 Replies
30K Views
wanabodi Kumekua na msg na audio zinazosambaa watu zikiwatahadharisha watu juu ya kundi la zungu jamani wanadai kuwa hawa jamaa wanaiba kwa nguvu za giza huku arusha Jee kuna ukweli??
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…