Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sina lengo la kudharau imani nyingine wala sio mfuasi wa imani za kikatoliki ila kuzipa changamoto madhehebu zetu mitaani huku ambapo kelele za imani ambazo zina maana sana kwa wahusika ila sisi...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni jambo la kushangaza kabisa wahudumu wa mizigo airport Mwanza wanatupa mizigo ya abiria hovyo kwenye coster yao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani. Tunamuomba...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Mombasa port wanakuwa na average ya meli zisizopungua 30 kila siku na wanafanya kazi masaa 12. Tanzania port of dar es salaam under Magufuli's era, meli hazizidi hata 10 kwa siku ila eti ifanye...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO ----- Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Habari kwa mpigo! Kwanza kabisa naomba nitoe salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki naTaifa kwa ujumla kwa ajali iliyotokea Rhotia-Karatu na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
PricewaterhouseCoopers, one of the world's largest professional-services firms, just released its predictions for the most powerful economies in the world by 2030. The report, titled "The long...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaume wenyewe tunafahamu, kwamba ili ufanikiwe kumnyakua malkia mmoja na kumuweka katika ufualme wako ni lazima uwe na ulimi wenye chembechembe fulani za uongo hivi ujue kupangilia maneno...
3 Reactions
6 Replies
952 Views
Jamani mnijuzeni ni wapi hapa Arusha Ibada ya Kitaifa kuwaaga wanafunzi waliofariki ajalini jana itafanyika? Au ndo kila mmoja anajichukulia tu mwili wa mtoto wake?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau, Kuhusu msiba wa wa wanafunzi 32 wa shule ya Lucky Vicent Arusha.Taifa zima limetetema.Taifa zima linaomboleza. Ni msiba mkubwa kitaifa kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa kwa tukio kubwa...
8 Reactions
44 Replies
19K Views
Watanzania tumekua watu wa lawana kila uchao. Hivi majuzi watu waliwatupia sana lawama wasanii wetu wa bongo movie bila kujihukumu wao kwanza bila shaka kila mmoja anajua nini kilitokea...
0 Reactions
6 Replies
895 Views
Wakuu habari za wakati huu. Naomba niwasilishe maoni yangu juu ya tukio hili la kuhuzunisha lililotukuta, nina huzuni kubwa toka nimesikia tukio hili nafsi yangu haina furaha kabisa. Kama mzazi...
5 Reactions
40 Replies
9K Views
Naunga mkono kwa kuweka background nyeusi imedhihirisha nyie ni wazalendo sana kama clouds media hongereni mungu awabariki RIP watoto wetu na walimu wetu
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetumiwa ujumbe huu ktk whatsap! FWD HIYO NAMBA 0655600071 IKIKUPIGIA USIPOKEE, USIKU KUAMKIA JUZI IMESHACHUKUA WATU 8 MAENEO YA TEMEKE YAANI NA LEO ASUBUHI WATU 13, WA 5 MNAZI MMOJA NA 8...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ndugu zake wamesimulia tabia yake na kilichotokea siku ya tukio. Mazishi yake yanasubiri kuwasili kwa wazazi wake, ndugu na jamaa kutoka mkoani Geita. Marehemu ameacha watoto watano, wa kike...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeuliza tu jamani au kuna masharti yapi kwa bendera kupepea nusu mlingoti, huu msiba ni mzito sana ukizingatia ni watoto kwa makumi ya kutosha wametutoka na umewagusa watanzania wengi. Hili...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni muda wa miaka miwili umepita kuanzia nihitimu chuo na baada ya hapo suala la ajira limekuwa mtihani kwa yalifuatia matamko mfululizo kuhusu kushitishwa ajira. Basi nikaamua kupambana kivingine...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu za mchana?poleni na msiba wa Jana wa watoto wetu na wadogo wenu kule karatu Jana.Nisiwachoshe saana na MNA majonzi makubwa,sijui huu Uzi nimeuweka mahali sahihi kama sipo modes muuhamishe na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kuwasiliana na balozi wa Tanzania hapa uingereza. tafadhali mwenye contacts za ubalozi huo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Usione ukadhani ndugu yangu kuwa kila mtu ambaye leo anacheka alizaliwa anacheka. Kama kila mtu angesema kule alikopitia mpaka hapa alipofika angeweza kutengeneza movie ya Episode kama 5. Wapo...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…