Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Mombasa port wanakuwa na average ya meli zisizopungua 30 kila siku na wanafanya kazi masaa 12. Tanzania port of dar es salaam under Magufuli's era, meli hazizidi hata 10 kwa siku ila eti ifanye operation masaa 24. Au ndyo ule msemo kuwa hta punda anafanya kazi?
Tunaexpect meli 3 tunafanya masaa 24. Wanaoexpect 33 wanafanya 12hr. Haya ni matusi!
Tunawaambia kila siku tatizo ni system. Hata mfanye masaa 100 kama hakuna ufanisi ni kazi bure.
"We can't solve the problem by using the same level of thinking that we used when creating them."Albert Einstein