mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Sina lengo la kudharau imani nyingine wala sio mfuasi wa imani za kikatoliki ila kuzipa changamoto madhehebu zetu mitaani huku ambapo kelele za imani ambazo zina maana sana kwa wahusika ila sisi majirani haitusaidii, na hugeuka kero pale zinapovuka viwango vya uvumilivu masikioni mwetu...
Wenzetu hawa wakatoliki huwa nawaona ni wanadamu wenye maono makubwa na akili nyingi maana wao huwahi maeneo makubwa iwe mijini au vijijini. Taasisi zao za imani ni nadra sana kukuta zimekuwa kero wa wasiohusika na imani yao. Sasa unakuta nyumba ya Sala katikati mtaani na bado wahusika wanaendeleza matendo ya imani kwa sauti na mifumo ile ile kana kwamba wako peke yao bila kujali ni usiku wa manane au mchana au jioni.
Kuna haja ya kujifunza mema kwa wenzetu hata Kuna upishani wa vizio kadhaa vya imani....
Hekima ni mzizi wa mahusiano kati ya watu wa imani na jamii inayowazunguka