Michango imerudi tena mashuleni

mpandaone

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
512
285
Katika hali isiyo ya kawaida Shule ya Msingi Mchombe wilaya ya Kilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000 kila mwezi za kuajili walimu na tsh 1000 kila mwezi kwa ajili ya mitihani.

Tunamuomba waziri Simbachawene aingilie kati suala hili.
 
Katika haliisiyo ya kawaidi shuleya msingi mchombe wilaya yakilombero imewataka wazazi kuchangia tsh2000kilamwezi zakuajili walim natsh 1000kilamwezi kwaajili ya mitiani tunamuomba waziri simbachawene aingiliekatiswalahili
huku siomitihani tu michango ipo hivi-:
1.MCHANGO WA MLINZI 1000/-KILA MWEZ
2.MCHANGO WA MAJI 500/- "
3.CHANGO WA.UMEME 500/- "
4.MITIHANI KILA WIKI 1000/-
 
Mleta uzi huna mtoto anayesoma katika hiyo shule. Na kama kweli unaye mtaje kwa jina na darasa analosoma tuanze kumtenga kuanzia saa hii. Atatusaidia kudeki vyoo na kupanda maua kwani ndicho ulichomchagulia.
Wazazi wakishakubaliana juu ya michango hakuna ayakayezuia tena labda waamue wao kivingine sagari nyingine. Halafu hako kabuku kako kanamsaidiaje mwalimu.
Au unataka kuongeza ile 26% ya wasijua kusoma nchini? Acha unafiki na roho ya kwanini na tupunguzie umaskini wako hapa!
 
Hiyo elfmbili nikila mwanafunzi yakuajili mwalimu wakujitolea na shilingi 1000 Nikilamwanafunzi yakuchapisha mitiani na huh ni mwanzotu kwani wazazi tunauzoefu nashule hii mwaka 2010 michango ilifika mbaka elfusabinikwakichwa
 
~~~>>>Huu uandishi wako tu inaonyesha kichwani ulivyo mweupe .

Hapo uamuzi upo Juu yenu, eitha mchange watoto wenu wafundishwe na kufanya mitihani au muache watoto wenu wande shule kucheza..


~~>>>Hakuna mtoto wa Magufuli ama wa Simbachawene anayesoma hizo shule zenu......
 
Back
Top Bottom