Kuna siku tulienda kupokea maiti hapo airport, mh! tulikaa saa nzima tunakasubiri kamdada kako nyumbani hadi kaje katufungulie, tulipofika tukakatania "hapa kazi tu" angalau tupunguze hasira tulizokuwa nazo.Ni jambo la kushangaza kabisa wahudumu wa mizigo airport Mwanza wanatupa mizigo ya abiria hovyo kwenye coster yao
Ni jambo la kushangaza kabisa wahudumu wa mizigo airport Mwanza wanatupa mizigo ya abiria hovyo kwenye coster yao
Ni jambo la kushangaza kabisa wahudumu wa mizigo airport Mwanza wanatupa mizigo ya abiria hovyo kwenye coster yao