majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 635
Eti demu gharama zake kula na malazi kama Kama "Faru Faustin"!
Kweli wanaume tumefika kuwaona wakina mama kama gharama kweli?! Awe girlfriend, mke au hata hawara, sisi wanaume hatustahili hata kidogo kutupa lawama kwa hawa viumbe wazuri, kumbukeni, hawa ndio wabebao kizazi chetu, wanatupa mapenzi ya kila aina, wanatufulia, wanatupa bega la kulia na kutoa manung'uniko ya kila aina kutoka kwenye shughuli zetu.
Je wanaume tumebadilika na hatuna staha tena? Au ndiyo kizazi kipya cha wanaume kilivyo na msimamo huu kwa kina mama?
KARIBUNI..