Changia rambirambi kwa msiba wa wanafunzi

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
BT3hUk9j8qc.jpg
 
Mchamgo tunamchangia nani shule au wazazi hawa clouds hebu waache kugeuza kila kitu ni fursa hata wale Malaika wanataka kuwatumia kama fursa alafu rambi rambi na malengo kabisa. eti malengo milion 50 hawa hawachelewi kusema itatumika kejengea fly over Arusha
 
Harufu ya upigaji.....
Tuwaacheni wanafunzi wapumzike kwa amani

Ova
 
Back
Top Bottom