Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta , malapa, mwanayamala, kinondoni A, kinondoni B, kawe ukwamani, karakata, Bomu Bomu, kijiwe samri, chadema, yombi, spenko, mahakama ya mbuzi, vinguti, magomeni.kagera, mapipa, Keko, Keko mwanga, Keko machungwa, keko magurumbasi, maduka mawili, Taifa, mivinjeni, salvation army, kwa.mama kibonge, ,goba , mpiji, mbweni, morocco, boko, zingiziwa,malamba mawili, mbezi kibanda cha mkaa, mbezi.makonde , kimara, kwa msuguri, kwa kichwa, kwa.msuguri, kibamba, temboni, segerea, tabata, matumbi, ubungo maziwa ,korogwe kimara, bucha kiamara, ubungo maji, bungo msewe, chanika , liverside kwa mzee wa upako, mikocheni coca cola, Mayfair plaza, Feza schools, IST,kwa bibi nyau, kwa remi, makaburini sina, sina palestina, ustawi wa jamii (ambiance), mwenge kinijini, mwenge tra, mwenge mapambano, makumvusho, kijitonyama, barack obama street, kwa ndevu mbili, Buza kwa Osama, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kwa azizi ally, stend ya shamba, kiburugwa, mbagala kuu, Kokoto, msumbiji, Maputo,mbande, kijichi, tuangoma, msongola, kwa pinda, kibada, faraja jipya, kigamboni, ferry, etc

koooooteeerre huko nimepita , aiseer kuna booonge la mvua sio la nchi hii.

Kama mvua imenyesha ya kutosha kuanzia monday ya tareh 08 May hebu sa "Jana na leo".
 
MTO msimbazi, mto mzinga -mbagala/kongowe, bonded la jangwani, MTO kisukuru etc mpaka sasa maji yamejaaa mpaka pomoni.

Hayo maeneo nilikuwa nafanya yangu i.e "invisible activities", hivyo katika kukamilisha ratiba yangu barabara ikanibid nipite njia zote hizo.

Mkuu mshana jr upo wapi leo au bado msata?

Matokeo yake tutayaona jangwani. Chief umepita kote huko unasambaza magazeti?!
 
Back
Top Bottom