Source : ITV Habari 20:00 06/05/2017Serikali wilaya Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa na kuwataka wakulima wasiuze chakula maana hali ni mbaya
Huyu mkuu wa wilaya hivi sio mchochezi?!Waziri wa chakula alishakataa akihojiwa na DW Swahili alisema Tanzania hamna njaa