http://www.mwananchi.co.tz/habari/M...8-3914090-view-printVersion-2vgddw/index.html
Very serious charges, bail was set at 5,000,000/=. Mtuhumiwa hakuweza kukidhi matakwa yote ya dhamana na hivyo kurudishwa gerezani.
Bahati mbaya vyombo vyetu vya habari ni dhaifu, mwandishi hawezi "kujiongeza" na kuandika basic rules and facts za EFD machines.
Hata kwa kuuliza uliza nje ya mahakama wakati prosecutor anapita pita. Ili baadae. aje auelimishe umma.
Hivi ni bar gani wahudumu wanachukua order za makange na bia kwa mashine za EFD?