Kero ya watumiaji wa barabara ya Tabata maji chumvi

Kero ya watumiaji wa barabara ya Tabata maji chumvi

kwalele

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
36
Reaction score
15
Habari zenu wana JF
Kumekuwa na kero kubwa ya watumiaji wa barabara inayopita external kupitia jeshini kuelekea tabata kimanga hapa kati kati kuna kipande hakina rami na barabara haijachongwa na kutokana na hari ya hewa ya mvua basi kila siku kero ya magari yana nasa na kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara.Hii hari inakera sanaa kwa wakazi wa huku
 
Kweli kabisa..mamlaka husika ziangalie hilo suala
 
Back
Top Bottom