matonya wa matonya
Member
- Oct 23, 2016
- 6
- 4
Ndugu wana jf, katika zoezi linaloendelea la ukaguzi wa vyeti vya sekondari wapo watumishi ambao waliishia elimu ya msingi,katika fani mbalimbali- ualimu, udaktari, uhasibu, uboharia nk wenye diploma na digrii kutoka kwenye vyuo au taasisi zinazohusika na wanafanyakazi vizuri zaidi ya waliohitimu elimu ya sekondari, je kinachoangaliwa ni utendaji wa mfanyakazi au leaving certificate ya form four?