Jamani nataka kujiunga na paypal lakini inaniletea street adress sijui hapo nifanyeje
Na postal code wakati sina sijui tunapaswa kujaza nn?
mkuu ni vizur Kufungua address yako mwenyew posta kwa usalama zaidi kama hauhafanya hivy Hapo postal code 255 na street code weka ya ofisi ya mtaa wakoJamani nataka kujiunga na paypal lakini inaniletea street adress sijui hapo nifanyeje
Na postal code wakati sina sijui tunapaswa kujaza nn?
Kwani wewe hujiu maana ya street...yaaani mtaa wako anuani yake hujui. Postal code angalia postal code za Tanzania then nenda kwa mkoa wako kisha wilaya hadi kata unayokaa...zote zimeaninishwa kwenye jedwali. Kama huzijui ingia google tafuta post code za tanzaniaJamani nataka kujiunga na paypal lakini inaniletea street adress sijui hapo nifanyeje
Na postal code wakati sina sijui tunapaswa kujaza nn?
Kwahiyo naandika slp ya mtaa wangu au nijaze ya ofisini?Kwani wewe hujiu maana ya street...yaaani mtaa wako anuani yake hujui. Postal code angalia postal code za Tanzania then nenda kwa mkoa wako kisha wilaya hadi kata unayokaa...zote zimeaninishwa kwenye jedwali. Kama huzijui ingia google tafuta post code za tanzania
Andika yoyote ambayo ni rahisi kupata "mizigo" yako iwe kazini au mtaani popote, ila postal code/zip code iwe sahihi (kumbuka postal code sio SLP).ai nijaze ya ofisini, shulen au mahala popote pa karibu?au nijaze ya posta iliyo karibu na mm??
Ninajoin na app yao inagoma nikiandika mwaka wa kuzaliwa inagoma yaanMkuu ni rahisi sana, street address mfano upo DSM unaishi Mikocheni then street adress andika Mikocheni, kuhusu postal adress hizo ni code number muhimu kwasababu zinaonesha specific location uliyopo (ingia tovuti ya tcra) mfano ya Iringa 1500,ukiingia utazipata za mikoa yote..
N.B Paypal ni mfumo sensitive jitahidi kuweka detail za kweli
Ninajoin na app yao inagoma nikiandika mwaka wa kuzaliwa inagoma yaan
sikuelew