Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

mm1

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
569
170
Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata kazi.Namfahamu vizuri wala sio kwamba labda wamekosea kumbaini maana o level alipata bashitenic grade,zero yaaan.NMESHANGAA JAMAA HATA HASHITUKI ANAINGIA MZIGONI TU KAMA KAWA.Ninavyoona hili pigo ni kubwa tena ni pigo la mzaliwa wa kwanza kama lile kwa farao according to biblical story.
 
Ngoja ajaribu bahati yake ikitokea mshahara usipotoka anaacha mwenyewe
 
Huyo upo katika stage inaitwa "denial".

Hajakubali masahibu yaliyomfika bado. Anajifariji ni kama ndoto mbaya tu ataamka maisha yaendelee.
 
Kuna makosa mengi sana kwenye hiyo list hata prof Kabudi yumo sasa unadhani Kuna ukweli katika Hilo?
 
Kwenye list ya Incomplete kwa taasisi kuna majina makubwa sana.
 
Incomplete wote wanaendelea na kazi... Uoga wako umasikini wako.

Chapeni kazi...incomplete wote.
 
tena hawa ndo wabaya kuliko hata wale hawakuwa na cheti,cheti kimoja walitumia watu 5 kusomea fani Lakini kichwani bashiteee tupu
 
Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata kazi.Namfahamu vizuri wala sio kwamba labda wamekosea kumbaini maana o level alipata bashitenic grade,zero yaaan.NMESHANGAA JAMAA HATA HASHITUKI ANAINGIA MZIGONI TU KAMA KAWA.Ninavyoona hili pigo ni kubwa tena ni pigo la mzaliwa wa kwanza kama lile kwa farao according to biblical story.

Huyo ameshaota pembe aongezewe mkia ili awe faru kabisa
 
409240.jpg
 
Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata kazi.Namfahamu vizuri wala sio kwamba labda wamekosea kumbaini maana o level alipata bashitenic grade,zero yaaan.NMESHANGAA JAMAA HATA HASHITUKI ANAINGIA MZIGONI TU KAMA KAWA.Ninavyoona hili pigo ni kubwa tena ni pigo la mzaliwa wa kwanza kama lile kwa farao according to biblical story.
We hujui kuna upungufu wa walimu? Unataka aache kazi alafu watoto wetu atawafundisha nan??
 
Back
Top Bottom