marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Napenda kuwapongeza kwa uzalendo wenu wakuahirisha vipindi ili muwe pamoja na familia na watanzania walioondokewa na watoto wao wapendwa, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu. UTU ni bora kuliko PESA.
Lengo ni kuungana na waombolezaji katika msiba wa wanafunzi 32 wa st, lucky vicent karatu Arusha
Lengo ni kuungana na waombolezaji katika msiba wa wanafunzi 32 wa st, lucky vicent karatu Arusha
Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
www.jamiiforums.com