Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea.
nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa mfano DW wanaandaa kipindi saa moja au zaidi kabla ya kwenda hewani ndio maana husikii mambo ya kuchukiza kwenye redio.
Nadhani uongozi wa clous upate management nzuri ili kuzuia maneno yanayoudhi kwenye radio kwa wafanyakazi wao.
mtu kama Millard Ayo, anafaa ata kufanya kazi CNN ila hawa wengine nahisi ni cheap labor. kwenye vipind vyao havina mvuto na kuongelea hisia zao, misimamo yao, na upeo wao.
Wanajua kila kitu imani, siasa, hisa, udaktari, upolisi, udereva, sheria, ujasiriamali, uganga, umakenika, ufundi umeme, uinjinia sasa sijui wamesoma shule gani multi purpose
Mbadilike