Arusha:Watu watano wa familia moja wapoteza maisha Baada ya kuangukiwa na mti

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,015
4,982
Watu watano Wa familia moja wilayani Arumeru wamefariki dunia usiku WA kuamkia Leo baada ya nyumba walimokuwemo kufunikwa na udongo pamoja na mti mkubwa uliong'oka toka mlima Lekimana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani hapa.

Tukio Hilo lilitokea katika nyumba inayomilikiwa na Jonathan kalambiwa, Baadhi ya waliofariki Ni Gilliard Jonathan , Best Jonathan,Miriam Jonathan, miili yote mitano imepekwa chumba cha kuifadhia maiti mount meru.

Kamanda WA Polisi mkoani Arusha Charles mkumbo amethibitisha kutokea kwa vifo hivo.
 
Back
Top Bottom