OMBI MAALUM: Prophet TB Joshua tuombee Tanzania

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Kama mnavyokumbuka Mtumishi wa Mungu TB Joshua alitua nchini mwishoni mwa mwaka 2015, na kulakiwa kwa bashasha sana. Ni maombi yetu tena kwake atuweke kwenye maombi yake kama Taifa ili tuzidi kupata baraka zaidi ya viwanda 52,000, Mvua za kutosha na mambo mengine mengi. Asanteni sana.
 
Aanze kwake Nigeria kuna matatizo luluki na raisi wao pia ni mgonjwa pia anahitaji maombi
 
ameshindwa kuliombea taifa lake Nigeria limejaa matapeli na wahalifu akina book haram ndio aje kutuombea sisi? Gorofa lake limeua watu afrika kusini angeanza kujiombea yeye matatizo yake yaishe
 
huyo TB Joshua ujio wake mwaka 2015 ndio umetufikisha hapa ....taifa linapatwa na majanga kila uchwao.!
tb joshua ni janga na alaaniwe kwa ushirikina wake kwa viongozi wetu......nguvu za giza hazina nafasi enzi hizi!
 
Tusipende kuhukumu watumishi wa Mungu hiyo kazi tumwachie Muumba mwenyewe
 
Back
Top Bottom