Wadau,
Jana Kijana wa jirani yangu kwenye Kibanda cha M-pesa ametapeliwa kwa style ambayo ningependa muifahamu na muwatahadharishe na wengine.
Alikuja mteja akiwa na Tshs 10,000/= na alitaka...
Habari waungwana,
Naomba kuuliza eti naweza kupata dhambi ikiwa nimeapa kuacha kitu fulani kwa wakati fulani lakini kwa bahati mbaya au nzuri sikutekeleza nilichokiahidi? Naomba maelezo yenu...
Nimekuwa nikijiuliza kwanini Halotel iburuzwe Mahakamani(Mkurugenzi wake) Wakati Makampuni mengine ya simu yakifanya makosa huwa yanatozwa tu faini? Je ni kwamba kuna hujuma? Just anxious!
Dar es Salaam. The government is in a process of drafting a plan that will ensure cities that cannot produce charcoal are able to access the product once the government notice to regulate movement...
Mara kadhaa napopita kwa mawakala wa hii huduma huku kitaani kwangu, unakuta wakala anakuambia hana flot mara flot ndogo na visababu vingine kibao, mwisho wa siku hupati huduma.
Sasa nimekuwa...
Sumbawanga. Mkazi wa Kijiji cha Msia wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, Patrick Kipesa (39) amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani mara baada ya kuumua mkewe kwa kumkata kata na shoka sehemu...
Three Child Survivors from Tanzania Bus Crash Arrive in U.S.
THE PLANE CARRYING THE THREE CHILDREN AND THEIR MOTHERS ARRIVED IN CHARLOTTE LATE ON MOTHER’S DAY.
Habari wana Jf
Zaidi ya wafanyakazi 10,000 hawatopokea mishahara mwezi huu.
Kwa mahesabu ya harakaharaka kuna wafanyakazi ambao walikiwa wanapokea 300000, 50000, 700000, na wengine zaidi ya 1.5M...
Habari zenu bana/
poleni kwa majukumu ya hapa na pale/ mi naomba anaeujua wimbo wenye hizi phrase anijuze tafadhali aniambie ni nani kaimba pia
"gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo gumzo...
Mwenzenu nilishiriki huzuni ya Arusha-ya vifo vya wanafunzi,walimu na dereva wa Lucky Vicent. Nilishiriki kwa hali na mali. Nimeukwepa mtego wa kulilia na kulalamikia rambirambi zilizowashwa kama...
Miongo kadhaa iliyopita, nayawaza maisha yangu yalivyokuwa kijijini.
Nimetokea familia ya wafugaji, kwa hiyo maisha yote yalikuwa ni porini mda wote nikichunga ng'ombe.
Hakukua na chai kama huku...
Jovin Bukambo mwenye umri wa miaka 30 amehukumiwa miaka 30 jela kwa kujaribu kumbaka Bi. Maria Tenganamba mwenye umri wa miaka 60.
Akimsomea hukumu hiyo Hakimu Ramadhan Rugemalila alisema kuwa...
Maisha halisi na pekee kwa Mwanadamu ni yale ya kuwa Mcha Mungu, yaani kutii maagizo ya Mungu. Mambo mengine tuyaonayo hapa Duniani ni ubunifu tu wa Mwanadamu wa namna ya kuishi katika hii...
Boss mkuu bw.rajan rupin anatukana wafanyakazi,na wanaachishwa bila sababu kila mwaka boss anakaa na mbwa ofisi moja hajali maadili ya dini hata kama yanakataza kua na mbwa na ukiajiriwa ktk ofisi...
Taarifa: Ndege DC 8 N782SP imewasili Mji Mkuu Charlotte, NC katika Amerika majira ya saa 3 asubuhi ( Saa za Afrika Mashariki). Watoto wamepelekwa hospitali mjini Charlotte kwa madhumuni ya...